
Beatrice H Kitauli
Muimbaji wa nyimbo za injili Beatrice Kitauli ameitambulisha video ya wimbo wake mpya uitwao MAUA.
Wimbo huo ni ule unaobeba Album yake iitwayo Mau. akizungumza na MO Design Beatrice amesema kuwa ameamua kuachi wimbo huo mmoja kwanza ili kuwaweka watu tayari kwa ajili ya album yake hiyo ijayo.
" sio kwamba nimefanya video ya wimbo huo mmoja tu, la hasha nafanya album nzima ila nimeamua kuachia huo mmoja kwanza ili watu waone ubora wa kile kitu nilichokuwa nawaambia watu kuwa na kifanya"... alisema Beatrice.
Beatrice ni muimbaji mpya katika tasnia ya uimbaji wa nyimbo za injili, lakini pia ni mmoja kati ya up coming wanaofanya vizuri katika mwaka huu wa 2016,
ukiuzungumzia wimbo wa MAUA ni wimbo ambao unaendelea kushika chart za juu katika media tofauti nchini ikiwemo na mitandao ya kijamii.
VIDEO HII HAPA
No comments:
Post a Comment